Pongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:18, 1 Aprili 2016 na Kipala (majadiliano | michango)
Pongo
Dume la pongo (Tragelaphus sylvaticus)
Dume la pongo
(Tragelaphus sylvaticus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Bovinae (Wanyama wanaofanana na ng'ombe)
Jenasi: Tragelaphus (Nyala, pongo na tandala)
de Blainville, 1816
Spishi: T. sylvaticus
Sparrman, 1780

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pongo, Kulungu au Mbawala (ing. bushbuck) ni mnyama wa Afrika wa jenasi Tragelaphus katika familia Bovidae ambaye anafanana na Tandala.

Picha

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pongo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.