Nenda kwa yaliyomo

Pocho Lepratti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Claudio Hugo Lepratti (maarufu kama Pocho Lepratti; 27 Februari 196619 Desemba 2001) alikuwa mwanaharakati wa kisiasa na kujitolea kutoka Argentina aliyefanya kazi katika kitongoji maskini cha jiji la Rosario (mkoa wa Santa Fe, Argentina). Alipigwa risasi na kuuawa na polisi wa Mkoa wa Santa Fe wakati wa ghasia za Desemba 2001, alipokuwa akijaribu kuwazuia maafisa wa polisi wasifyatue risasi kuelekea katika shule ya watoto.

Hivi karibuni amependekezwa kutangazwa mtakatifu.[1][2]

  1. Technologies, Advertis Web (19 Mei 2023). ""El ángel de la bici": promoverán beatificación del entrerriano Pocho Lepratti - Sociedad - Elonce.com". “El ángel de la bici”: promoverán beatificación del entrerriano Pocho Lepratti - Sociedad - Elonce.com (kwa Kihispania (Ulaya)). Iliwekwa mnamo 2023-05-19.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Página/12 :: Sociedad :: San Pocho". www.pagina12.com.ar. Iliwekwa mnamo 2023-05-19.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.