Nenda kwa yaliyomo

Plutarko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Plutarko
Πλούταρχος

Amezaliwa takriban mwaka 40 BK
Keronea
Amekufa takriban mwaka 120 BK
Delfi
Kazi yake mwanahistoria, mwandishi wa wasifu, mwandishi wa insha, kasisi katika hekalu
Kazi maarufu Maisha ya Sambamba (Parallel Lives)
Moralia

Plutarko (kwa Kigiriki cha Kale: Πλούταρχος, Plútarkhos; takriban mwaka 40 BK – miaka ya 120) alikuwa mwanafalsafa Myunani wa Uplatoni wa kati,[1] mwanahistoria, mwandishi wa wasifu, mwandishi wa insha, na kasisi katika hekalu la Apolo huko Delfi. Anajulikana zaidi kwa kitabu chake Maisha Sambamba (kwa Kiing. Parallel Lives), mfululizo wa wasifu wa Wagiriki na Waroma mashuhuri, na Moralia, mkusanyo wa insha na hotuba.[2]

  1. Dillon 1996.
  2. Karamanolis, George (2023-03-22), "Plutarch", The Oxford Handbook of Roman Philosophy, Oxford University Press, ku. 211–224, ISBN 978-0-19-932838-3, iliwekwa mnamo 2025-10-20

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Kazi za Plutarko