Nenda kwa yaliyomo

Pixel 6 Pro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Google Pixel 6 Pro ni simu ya hali ya juu yenye skrini ya OLED ya 6.7 inches, QHD+ na refresh rate ya 120Hz. Inatumia chipu ya Google Tensor, ikiwa na kamera kuu ya 50MP, telephoto ya 48MP (4x optical zoom), na ultra-wide ya 12MP, pamoja na kamera ya mbele ya 11.1MP. Inakuja na RAM ya 12GB na hifadhi ya 128GB, 256GB, au 512GB, na betri ya 5003mAh inayosaidia chaji ya haraka ya 30W. Inatumia mfumo endeshi wa Android 12, na ina vipengele vya AI, 5G, na usalama wa vidole na Face Unlock[1].

  1. "Pixel 6 Tech Specs". Google Store. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 19, 2021. Iliwekwa mnamo Oktoba 19, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.