Nenda kwa yaliyomo

Piotr Krupa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Piotr Krupa (19 Juni 19364 Machi 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Polandi.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Koszalin-Kołobrzeg kuanzia 1984 hadi 1992 na kama askofu msaidizi wa Pelplin kuanzia 1992 hadi 2011. Pia alikuwa askofu wa jimbojina la Aquae Albae katika Byzacena hadi kifo chake.[1][2]

  1. "Bp Piotr Krupa przechodzi na emeryturę". archive.is (kwa Kipolandi). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-07-29. Iliwekwa mnamo 2024-03-27.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
  2. "Zmarł biskup senior Piotr Krupa". www.ekai.pl (kwa Kipolandi). Iliwekwa mnamo 2024-03-27.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.