Pinyinyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pinyinyi ni kata ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23713.

Iko karibu na ziwa Natron au mwambao mwa ziwa Natron. Hali ya hewa ni ya joto.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,482 [1] walioishi humo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Arusha - Ngorongoro DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-20.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Ngorongoro - Mkoa wa Arusha - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Alailelai | Alaitolei | Arash | Digodigo | Enduleni | Engaresero | Enguserosambu | Eyasi | Kakesio | Kirangi | Maalon | Malambo | Misigyo | Nainokanoka | Naiyobi | Ngoile | Ngorongoro | Olbalbal | |Oldonyosambu | Oloipiri | Oloirien | Ololosokwan | Orgosorok | Pinyinyi | Piyaya | Sale | Samunge | Soit-Sambu] |


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pinyinyi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.