Pim Techamuanvivit
Mandhari
Pim Techamuanvivit alizaliwa mwaka 1971) ni mpishi na mmiliki wa migahawa kutoka Uthai, anayefanya kazi mjini San Francisco, Marekani. Yeye ndiye mmiliki wa migahawa ya Nari, Kamin, na Kin Khao—ambayo ina nyota ya Michelin—katika San Francisco, na pia aliteuliwa kuwa mpishi mkuu wa mgahawa wenye nyota ya Michelin Nahm mjini Bangkok mwaka 2019.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Rao, Tejal (1 Mei 2018). [(https://www.nytimes.com/2018/05/01/dining/nahm-bangkok-chef-pim-techamuanvivit.html) "San Francisco Chef Now Heads the Acclaimed Nahm in Bangkok"]. The New York Times. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2020.
{{cite web}}: Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pim Techamuanvivit kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |