Pietro Strambone
Mandhari
Pietro Strambone, O.P. (alifariki 1503) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki aliyewahi kuwa Askofu wa Nocera de' Pagani (1479–1503).
Alipadrishwa katika Shirika la Wahubiri. Mnamo 16 Juni 1479, aliteuliwa na Papa Paulo II kuwa Askofu wa Nocera de' Pagani. Alihudumu kama askofu wa jimbo hilo hadi kifo chake mnamo 1503.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Eubel, Konrad (1914). HIERARCHIA CATHOLICA MEDII ET RECENTIORIS AEVI Vol II (tol. la second). Münster: Libreria Regensbergiana. ku. 181 and 205. (in Latin)
- ↑ "Bishop Pietro Strambone, O.P." Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Retrieved October 12, 2017
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |