Nenda kwa yaliyomo

Pietro Gasparri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pietro Gasparri GCTE (5 Mei 185218 Novemba 1934) alikuwa askofu na kardinali wa Kanisa Katoliki, mwanadiplomasia, na mwanasiasa katika Curia ya Roma. Alisaini Mapatano ya Laterano na alihudumu kama Kardinali Katibu wa Jimbo chini ya Mapapa Benedikto XV na Pius XI.[1]

  1. "(14) 1. GASPARRI, Pietro". The Cardinals of the Holy Roman Church | Biographical Dictionary of Pope Pius X (1903–1914) | Consistory of December 16, 1907 (IV). Florida International University. Iliwekwa mnamo 17 Novemba 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.