Nenda kwa yaliyomo

Pietro Boetto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pietro Boetto, S.J. (19 Mei 187131 Januari 1946) alikuwa Kardinali wa Italia wa Kanisa Katoliki aliyekuwa Askofu Mkuu wa Genova kutoka 1938 hadi kifo chake. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1935. Pia alipingana na utawala wa kifashisti wa Italia na alihusika katika kuwaokoa Wayahudi wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia.[1]

  1. TIME Magazine. Churchmen & The War February 24, 1941
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.