Nenda kwa yaliyomo

Pietro Aldobrandini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pietro Aldobrandini (31 Machi 157110 Februari 1621) alikuwa kardinali wa Italia na mfadhili wa sanaa. Pietro Aldobrandini alikuwa ndugu wa Kardinali Cinzio Aldobrandini, na wa baba wa Makardinali Silvestro na Ippolito Aldobrandini.[1][2]

  1. "Cardinal Pietro Aldobrandini", The British Museum
  2. "Aldobrandini, Pietro", The British Museum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.