Nenda kwa yaliyomo

Pietro Accolti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pietro Accolti (15 Machi 145511 Desemba 1532), anayejulikana kama "kardinali wa Ancona," alikuwa kardinali wa Italia wa Kanisa Katoliki na jaji wa Roman Rota.

Alizaliwa mjini Florence tarehe 15 Machi 1455, akiwa mwana wa mwanasheria maarufu Benedetto Accolti Mkongwe na mke wake Laura Federighi. Alisoma sheria huko Pisa. Mnamo 1481, kutokana na ushawishi wa ndugu wa baba yake, Francesco Accolti, ambaye alikuwa mtaalamu wa sheria, Pietro aliteuliwa kuwa msomaji wa sheria za Kanisa. Alihamia Roma baada ya 1485 na kuteuliwa kuwa msikilizaji wa Roman Rota, yaani, jaji anayesikiliza kesi. [1]

  1. Ciaconius, Alphonsus (1677). Vitae, et res gestae pontificum Romanorum et s.r.e. cardinalium (kwa Latin). Juz. la Tomus Tertius (3). Rome: Philippus et Antonius de Rubeis (de Rossi). uk. 295.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.