Pierre Osho
Mandhari
Pierre Osho (amezaliwa 5 Mei 1945) ni mwanasiasa wa Benin.[1]
Aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Benin kuanzia Aprili 1996 hadi Mei 1998, kisha akawa Waziri wa Ulinzi kuanzia Mei 1998 hadi Januari 2006 alipojiuzulu.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ actualité afrique. "Jeuneafrique.com : Kérékou réaménage le gouvernement béninois". www.jeuneafrique.com. Iliwekwa mnamo 2026-05-14.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pierre Osho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |