Pierre Omidyar
Mandhari
Pierre Morad Omidyar (Alizaliwa Juni 21, 1967) ni mfanyabiashara bilionea, mhandisi wa programu, na mfadhili nchini Marekani mwenye asili ya Ufaransa na Irani.[1] Yeye ni mwanzilishi wa eBay, ambapo alihudumu kama mwenyekiti kuanzia mwaka 1998 hadi 2015.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Pierre Omidyar". US Virtual Embassy Iran. Januari 1, 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 9, 2023. Iliwekwa mnamo Mei 15, 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Pierre Omidyar". Forbes (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 8, 2019. Iliwekwa mnamo 2023-02-23.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pierre Omidyar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |