Nenda kwa yaliyomo

Pierre Littbarski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pierre Littbarski (alizaliwa 16 Aprili 1960) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Ujerumani. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Ujerumani.

Littbarski ameichezea timu ya taifa ya Ujerumani tangu mwaka wa 1981. Littbarski alicheza Ujerumani katika mechi 73, akifunga mabao 18.[1]

[1]

Timu ya Taifa ya Ujerumani
Mwaka Mechi Magoli
1981 2 3
1982 15 5
1983 8 0
1984 3 0
1985 10 4
1986 7 0
1987 6 3
1988 8 0
1989 4 2
1990 10 1
Jumla 73 18
  1. 1.0 1.1 Pierre Littbarski at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pierre Littbarski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.