Nenda kwa yaliyomo

Pierre-Rudolph Mayard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mayard akifanya mazoezi ya kupasha mwili joto kwa ajili ya Montreal Impact mwaka 2009.

Pierre-Rudolph Mayard (alizaliwa Februari 21, 1988), anayejulikana kwa kawaida kama Papouche,[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Kanada ambaye hucheza kama mshambuliaji wa AS Blainville katika LIgi kuu ya soka ya Québec.



  1. Perez, Alexander (Juni 7, 2018). "Canadian Championships: Papouche Caps Off Historic Night of Soccer in Style". The Link.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Milano, Pascal (Juni 4, 2018). "L'AS Blainville rêve d'un grand parcours" [AS Blainville dreams of a great course]. La Presse.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pierre-Rudolph Mayard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.