Pierre-Marie Coty
Mandhari
Pierre-Marie Coty (22 Novemba 1927 – 17 Julai 2020) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ivory Coast.[1]
Coty alizaliwa nchini Ivory Coast na alitwaliwa kuwa padre mwaka 1955. Alihudumu kama askofu wa Dayosisi ya Daloa, Ivory Coast kuanzia mwaka 1975 hadi 2005.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |