Pierre-Eugène Rouanet
Mandhari
Pierre-Eugène Rouanet, S.M.A. (16 Novemba 1917 – 4 Februari 2012) alikuwa askofu wa Ufaransa wa Kanisa Katoliki.
Rouanet alizaliwa Mazamet, Ufaransa akapadrishwa katika Shirika la Misheni za Afrika (Society of African Missions) tarehe 4 Julai 1948.
Aliteuliwa kuwa askofu wa Dayosisi ya Daloa tarehe 4 Julai 1956 akapewa daraja ya uaskofu tarehe 29 Novemba 1956. Alijiuzulu kutoka uongozi wa dayosisi tarehe 20 Novemba 1975.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]http://www.catholic-hierarchy.org/bishop/brouanet.html
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |