Pier Giorgio Frassati
Mandhari

Pier Giorgio Frassati (Torino, 6 Aprili 1901 – Torino, 4 Julai 1925) alikuwa mvulana wa Italia aliyejiunga na Utawa wa Tatu wa Mt. Dominiko na vyama mbalimbali vya kitume pamoja na kusaidia kwa ukarimu na uchangamfu wahitaji wa mji wake.
Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 20 Mei 1990. Papa Fransisko alitoa kibali mnamo Julai 2024 ili atangazwe mtakatifu tarehe 27 Aprili 2025, ila mwenyewe alifariki kabla ya tarehe hiyo, hivyo tukio liliahirishwa. [1] Hatimaye Papa Leo XIV alimtangaza tarehe 7 Septemba 2025.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mares, Courtney (20 Nov 2024). "Pope Francis announces 2025 canonizations for Carlo Acutis, Pier Giorgio Frassati during Jubilee celebrations". Catholic News Agency.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Hagiography Circle
- Saints SQPN
- Santi e Beati
- piergiorgiofrassati.org
- Pier Giorgio Frassati's official website
- Frassati Catholic High School
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
