Nenda kwa yaliyomo

Pier Giacomo Grampa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pier Giacomo Grampa mnamo Machi 2009.
Nembo ya Pier Giacomo Grampa

Pier Giacomo Grampa (alizaliwa 28 Oktoba 1936) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia aliyepata uraia wa Uswisi.

Alipewa kuwa padre tarehe 6 Desemba 1959, na aliteuliwa kuwa askofu wa Dayosisi ya Lugano, Uswisi, tarehe 18 Desemba 2003. Alistaafu tarehe 4 Novemba 2013.[1]

  1. "Pier Giacomo Grampa". catholichierarchy.org.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.