Pico Cristóbal Colón

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Pico Cristobal Colon.jpg

Pico Cristóbal Colón ni mlima wa Andes katika nchi ya Kolombia (Amerika Kusini).

Urefu wake ni mita 5,775 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]