Faili:Takadir - Nyerere.jpg
Takadir_-_Nyerere.jpg (piseli 445 × 308, saizi ya faili: 34 KB, aina ya MIME: image/jpeg)
Muhtasari[hariri | hariri chanzo]
Kutoka kushoto: Sheikh Suleiman Takadir, Mbutta Milando, John Rupia na Julius Nyerere. Hao Waliowazunguka na silaha za jadi ni Bantu Group kundi la vijana wa TANU lililokuwa linatoa ulinzi kwa viongozi wa TANU. Picha Hii Ilipigwa Mwaka wa 1955.
Hatimiliki[hariri | hariri chanzo]
Picha hii imetolewa chini ya Laiseni Huria ya Umma "Attribution 3.0 Unported" . Maana yake: Uko huru kutumia picha hii, kuisambaza na pia kuibadilisha kama unataja muumbaji wake au mwenye kutoa laiseni asilia. Laiseni rasmi kwa Kiingereza
|
Historia ya faili
Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.
Tarehe/Saa | Picha ndogo | Vipimo | Mtumiaji | Maelezo | |
---|---|---|---|---|---|
sasa hivi | 08:46, 17 Juni 2016 | 445 × 308 (34 KB) | Muddyb (majadiliano | michango) | Kutoka kushoto: Sheikh Suleiman Takadir, Mbutta Milando, John Rupia na Julius Nyerere. Hao Waliowazunguka na silaha za jadi ni Bantu Group kundi la vijana wa TANU lililokuwa linatoa ulinzi kwa viongozi wa TANU. Picha Hii Ilipigwa Mwaka wa 1955. |
Unaweza kuandika juu ya faili hii.
Matumizi ya faili
Kurasa hizi 3 zimeunganishwa na faili hili: