Faili:Mtemvu Takadir.JPG

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mtemvu_Takadir.JPG(piseli 759 × 569, saizi ya faili: 111 KB, aina ya MIME: image/jpeg)

Muhtasari[hariri | hariri chanzo]

Wanaonekana Zuberi Mtemvu (aliyeshika tama) aliyekuwa Katibu Mwenezi wa TANU akiwa na Sheikh Suleiman Takadir, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU na kushoto yake Mzee John Rupia Makamu wa Rais wa TANU wakiwa katika moja ya hafla za TANU katika tawi hilo. Rais wa TANU Mwalimu Nyerere haonekani amezibwa na John Rupia lakini mlinzi wake katika vijana wa BANTU Group anaoenakana amesimama karibu yake amevaa lubega.

Hatimiliki[hariri | hariri chanzo]

Creative Commons License
Creative Commons Attribution icon
Picha hii imetolewa chini ya Laiseni Huria ya Umma "Attribution 3.0 Unported" . Maana yake: Uko huru kutumia picha hii,
kuisambaza na pia kuibadilisha kama unataja muumbaji wake au mwenye kutoa laiseni asilia. Laiseni rasmi kwa Kiingereza

Historia ya faili

Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.

Tarehe/SaaPicha ndogoVipimoMtumiajiMaelezo
sasa hivi10:56, 17 Juni 2016Picha ndogo ya toleo la 10:56, 17 Juni 2016759 × 569 (111 KB)Muddyb (majadiliano | michango)Wanaonekana Zuberi Mtemvu (aliyeshika tama) aliyekuwa Katibu Mwenezi wa TANU akiwa na Sheikh Suleiman Takadir, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU na kushoto yake Mzee John Rupia Makamu wa Rais wa TANU wakiwa katika moja ya hafla za TANU katika tawi...

Ukurasa huu umeunganishwa na faili hili:

Data juu