Faili:Hili Game Sampuli.ogg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hili_Game_Sampuli.ogg(Ogg Vorbis sound file, length 1 min 43 s, 162 kbps, file size: 1.99 MB)

Muhtasari[hariri | hariri chanzo]

Sampuli ya wimbo wa "Hili Game". Wimbo huu si ruhusa kunakili wala kusambaza. Hapa umewekwa kwa dhumuni la kuonesha uhalisia wa msanii mwenyewe. Hakuna leseni huru katika wimbo huu. Ni dakika 1 na sekunde 43 (1:43) tu za wimbo kama mfano. Ubeti wa kwanza na kiitikio chake tu ndicho kinachosikika.

Dhumuni la kutumia sampuli ya sauti ya "Hili Game" katika makala[hariri | hariri chanzo]

Hiki ni kipande cha sauti ya wimbo wa kibiashara kutoka katika rekodi husika. Imeingizwa humu kama fair use kwa sababu:

  • Inaonesha uhalisia wa makala na sampuli ya wimbo uliochukuliwa. Makala inaelezea masuala ya rekodi hivyo basi sampuli lazima ioneshwe.
  • Ni sampuli yenye muda kadhaa kutoka katika rekodi halisi, na hairuhusiwi kuiumba upya ili uweze kufanya matumizi ya biashara.
  • Ina ubora mdogo kuliko ile ambayo imetolewa kwa ajili ya biashara.
  • Hairuhusiwi kubadilisha na nakala halisi iliyotolewa kwa ajili ya biashara kwa dhumuni la kutoa elimu juu ya makala husika.
  • Sampuli hii haitaathiri thamani ya kazi halisi iliyotolewa kwa mrengo wa kibiashara.

Hatimiliki[hariri | hariri chanzo]

Historia ya faili

Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.

Tarehe/SaaPicha ndogoVipimoMtumiajiMaelezo
sasa hivi12:42, 30 Agosti 20171 min 43 s (1.99 MB)Muddyb (majadiliano | michango)== Muhtasari == Sampuli ya wimbo wa "Hili Game". Wimbo huu si ruhusa kunakili wala kusambaza. Hapa umewekwa kwa dhumuni la kuonesha uhalisia wa msanii mwenyewe. Hakuna leseni huru katika wimbo huu. Ni dakika 1 na sekunde 42 tu za wimbo kama mfano. Ubet...

Ukurasa huu umeunganishwa na faili hili:

Transcode status

Update transcode status
Format Bitrate Download Hali Encode time
MP3 186 kbps Completed 10:31, 25 Desemba 2017 3.0 s

Data juu