Nenda kwa yaliyomo

Phumzile Mgcina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Phumzile Sinclatia Mgcina (alizaliwa tarehe 8 Agosti 1990) ni mwanasiasa wa Afrika Kusini ambaye kwa sasa anahudumu kama Naibu Waziri wa Rasilimali za Madini na Petroli tangu Julai 2024.

Pia ni Naibu Rais wa Umoja wa Vijana wa chama cha African National Congress (ANC Youth League) tangu Julai 2023.

Mgcina anatoka Utrecht, katika Mkoa wa KwaZulu-Natal, na alianza kazi yake ya kisiasa kama diwani katika Manispaa ya Amajuba District Municipality.

Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Taifa la Afrika Kusini kupitia uchaguzi mkuu wa Mei 2024.[1]

  1. "New ANCYL leaders elected". The Witness (kwa American English). 2023-07-03. Iliwekwa mnamo 2024-07-05.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Phumzile Mgcina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.