Nenda kwa yaliyomo

Phillis Naa Koryoo Okunor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Phillis Naa Koryoo Okunor ni mwanasiasa wa Ghana. Alizaliwa mwaka wa 1985 nchini Ghana, Accra. Aligombea katika uchaguzi mkuu wa Ghana wa 2020 [1] na ndiye aliyekua mgombea ubunge wa NDC katika jimbo la Awutu-Senya Mashariki katika uchaguzi mkuu wa Ghana wa 2024.[2] Alishinda uchaguzi wa 2024 kwa kupata kura 50,886, zikiwakilisha 52.7% baada ya kumshinda mbunge aliyekuwepo madarakani, Mavis Hawa Koomson ambaye alipata kura 45,638, zikiwakilisha 47.3% ya jumla ya kura zilizopigwa [3]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Baba yake anatoka Kenya lakini mama yake ni Mghana. Baba yake anatoka kabila la Luo nchini Kenya. Wazazi wake waliondoka naye hadi Ghana kwa mama yake. Alisomea LLM (Sheria ya Teknolojia ya Habari) katika Chuo Kikuu cha Ghana (2023).[4]

  1. "Parliamentary Results for Awutu-senya East". Iliwekwa mnamo 7 Desemba 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "NDC is Ghana's best bet in 2024 polls - Phillis Okunor - MyJoyOnline". www.myjoyonline.com. 6 Juni 2024. Iliwekwa mnamo 7 Desemba 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "NDC's Naa Koryoo snatches Awutu Senya East seat from Hawa Koomson - MyJoyOnline". www.myjoyonline.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-04-25.
  4. "Parliament of Ghana". www.parliament.gh. Iliwekwa mnamo 2026-01-16.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Phillis Naa Koryoo Okunor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.