Nenda kwa yaliyomo

Philippe Kourouma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Philippe Kourouma (29 Novemba 1932, Samoé – 10 Februari 2009) alikuwa askofu wa Guinea wa Jimbo Katoliki la N’Zérékoré kuanzia tarehe 15 Desemba 1979, hadi alipostaafu tarehe 27 Novemba 2007.

Alikuwa Askofu Mstaafu wa jimbo hilo hadi alipofariki tarehe 10 Februari 2009, akiwa na umri wa miaka 76.[1]

  1. ↑ "AFRIQUE/GUINEE – Démission de l'évêque de N'Zérékoré – Agenzia Fides". fides.org. Iliwekwa mnamo 2022-12-31.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.