Nenda kwa yaliyomo

Philibert Randriambololona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Philibert Randriambololona (1 Mei 192717 Aprili 2018) alikuwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki.

Randriambololona alizaliwa Madagaska na alipitishwa katika daraja ya upadre mwaka 1961 akiwa mjumbe wa Shirika la Yesu. Alikuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo la Antsirabe, Madagascar, kuanzia 1988 hadi 1989 na kisha alikua Askofu wa jimbo hilo kuanzia 1989 hadi 1992. Baadaye alihudumu kama Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Fianarantsoa, Madagascar, kutoka 1992 hadi 2002.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.