Phil Knight
Mandhari
Phil Hampson Knight (Alizaliwa Februari 24, 1938) ni mfanyabiashara bilionea nchini Marekani ambaye ni mwanzilishi mwenza na mwenyekiti mstaafu wa Nike, Inc., kampuni ya kimataifa ya vifaa na mavazi ya michezo. Kufikia Oktoba 2025, Forbes alikadiria utajiri wake kuwa dola bilioni 35.4.[1][2] Yeye pia ni mmiliki wa kampuni ya utengenezaji wa filamu za uhuishaji wa stop motion, Laika.[3] Knight alitoa mamia ya mamilioni ya dola kwa kila chuo alichosoma, pamoja na Oregon Health & Science University.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nike's Knight, 77, handing off chairman duties". ESPN.com. Associated Press. Juni 30, 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 30, 2016. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Phil Knight Vs. The World: A Review Of Shoe Dog". www.thegazelle.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-02-20.
- ↑ "Phil Knight". Encyclopaedia Britannica. Iliwekwa mnamo 2026-04-21.
- ↑ "Phil Knight". Bloomberg. Iliwekwa mnamo 2026-04-21.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Phil Knight kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
1