Nenda kwa yaliyomo

Petrus Scriverius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Petrus Scriverius, jina la Kilatini la Peter Schrijver au Schryver (12 Januari 1576 – 30 Aprili 1660), alikuwa mwandishi na msomi wa Waholanzi aliyebobea katika historia ya Nchi za Chini.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Petrus Scriverius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.