Nenda kwa yaliyomo

Petrona Viera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Petrona Viera.

María Petrona Viera Garino (alijulikana kama Petrona Viera, 24 Machi 1895 - 4 Oktoba 1960)alikuwa mchoraji wa Uruguay ambaye alijulikana kwa kuwa mchoraji mtaalamu wa kwanza wa kike nchini Uruguay na kwa ushiriki wake katika harakati ya Planismo. [1]

  1. Museo Nacional de Artes Visuales, Uruguay. "Petrona Viera (1895-1960)" (kwa Spanish). Iliwekwa mnamo 15 Januari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Petrona Viera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.