Petro Poga
Mandhari
Petro Poga (1860–1944) alikuwa mwanasiasa wa Albania ambaye alihudumu kama mjumbe katika tukio la Azimio la Uhuru wa Albania mjini Vlorë, mwaka 1912,[1] na pia alikuwa mwanaharakati muhimu wa Rilindas (Mvuvumko wa Albania).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Michael Schmidt-Neke (1987-11-16), Entstehung und Ausbau der Königsdiktatur in Albanien (1912-1939): Regierungsbildungen, Herrschaftsweise und Machteliten in einem jungen Balkanstaat, Oldenbourg Wissenschaftsverlag, uk. 320, ISBN 978-3486543216
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Petro Poga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |