Nenda kwa yaliyomo

Petra Schürmann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Petra Schürmann-Freund (Septemba 15, 1933Januari 14, 2010) alikuwa mwigizaji, mwanamitindo, mtangazaji wa TV, na mrembo wa Ujerumani aliyeshinda Miss World mwaka 1956. Alikua mwanamke wa Ujerumani wa kwanza kushinda taji la Miss World katika historia. Baada ya utawala wake, alifanya kazi kama mtangazaji wa hali ya hewa kwenye TV ya Ujerumani na akawa mhusika maarufu wa media nchini Ujerumani.[1][2][3]

  1. "1956 | 1950s". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Agosti 2010. Iliwekwa mnamo 10 Oktoba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Liebt Petra Schürmann diesen jungen Mann wirklich?". 26 Julai 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-09-23. Iliwekwa mnamo 3 Aprili 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Petra Schürmann: Ihre letzte Reise". 15 Januari 2010. Iliwekwa mnamo 3 Aprili 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Petra Schürmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.