Petra Dode
Mandhari
Petra Dode alikuwa mwanasiasa wa Albania.
Aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mipango ya Serikali katika Baraza la Mawaziri (Albania) mnamo mwaka 1972.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Albania Ministers".
- ↑ The International Year Book and Statesmen's Who's who. International Publications Service. Burke's Peerage Limited, 1983
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Petra Dode kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |