Peter Thiel
Mandhari
Peter Andreas Thiel (Alizaliwa Oktoba 11, 1967) ni mjasiriamali, mwekezaji katika biashari , na mwanaharakati wa siasa za kihafidhina nchini Marekani mwenye asili ya Ujerumani. Mwanzilishi mwenza wa PayPal (1998), Palantir Technologies (2003), na Founders Fund (2005), pia alikuwa mwekezaji wa kwanza kutoka nje katika Facebook (2004).[1][2][3][4]Kulingana na The New York Times, kufikia Desemba 2025, utajiri wa Thiel ulikadiriwa kufikia dola bilioni 27.5, na kumweka kati ya watu 100 tajiri zaidi duniani.[5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Honoring Mr. Peter Thiel 2018 Distinguished German-American of the Year" (PDF). gahmusa.org. German-American Heritage Foundation of the USA. 2018. uk. 9. Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2025.
He has also always remembered his roots and kept strong ties to his home country – holding German citizenship and visiting Germany on a regular basis. Mr. Thiel is a true example of German-American friendship and cooperation.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Goldberg, Jonah (18 Oktoba 2022). "Goldberg: Why is Peter Thiel, a GOP megadonor, buying a Maltese passport?". Los Angeles Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Oktoba 2022.
Born in Germany, he has dual U.S. and German citizenship.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Peter Thiel's unusual path to New Zealand citizenship - CBS News". www.cbsnews.com. 1 Februari 2017.
The 2011 documents show that Thiel also remained a citizen of Germany, where he was born.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Towey, Hannah (16 Oktoba 2022). "Billionaire Silicon Valley investor Peter Thiel is in the process of acquiring Maltese citizenship, report says". Business Insider.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Peter Thiel's Vision for 2026: The Strategy Behind Palantir's Expansion". Angels for Change. Iliwekwa mnamo 2026-05-11.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peter Thiel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |