Peter Nworah
Mandhari
Peter Nworah (alizaliwa 15 Desemba 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa kitaaluma kutoka nchini Nigeria anayekipiga katika nafasi ya mshambuliaji kwa klabu ya Abu Salem SC..[1]
Alisaini na Spartak Trnava Oktoba 2013 na kufanya debi yake dhidi ya Ružomberok tarehe 2 Novemba 2013. Mwezi Agosti 2017, alihama kwenda Hapoel Kfar Saba akisaini mkataba wa miaka miwili. Katika msimu wa 2022-23, alicheza kwa klabu ya Abahani Limited Dhaka inayoshiriki Bangladesh Premier League.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Peter Nworah - Nigeria | Player Profile". Nigeriasoccernet (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-03-25. Iliwekwa mnamo 2024-11-02.
- ↑ Nwosu, Chigozie (2022-09-02). "Peter Nworah Opens Goalscoring Account In Al-Faisaly SC (5-0) Win - Nigeria Sports News" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peter Nworah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |