Nenda kwa yaliyomo

Peter Nicholas (mfanyabiashara)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peter Michael Nicholas (Mei 16, 1941Mei 14, 2022) alikuwa mfanyabiashara na mfadhili nchini Marekani. Alianzisha kampuni ya vifaa vya matibabu Boston Scientific pamoja na mshirika wake John Abele mwaka 1979.[1][2][3]

  1. "The World's Working Rich". Forbes.com. Iliwekwa mnamo Juni 13, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Marquard, Bryan (Mei 15, 2022). "Peter Nicholas, cofounder of Boston Scientific, dies at 80". The Boston Globe. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 16, 2022. Iliwekwa mnamo Mei 17, 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Goldberg, Carey (Mei 16, 2022). "Peter Nicholas, Co-Founder of Boston Scientific, Dies at 80". Bloomberg News. Iliwekwa mnamo Mei 17, 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Nicholas (mfanyabiashara) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.