Nenda kwa yaliyomo

Peter Mponda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peter Mponda (alizaliwa 4 Septemba 1981) ni mchezaji wa zamani wa soka kutoka Malawi. Alikuwa akiichezea kama beki wa kati na pia aliwahi kuwa nahodha wa[Timu ya taifa ya soka ya Malawi. Kwa sasa, yeye ndiye kocha mkuu wa klabu ya Nyasa Big Bullets FC ya Malawi, inayoshiriki katika Ligi Kuu ya Malawi.[1][2][3]

Mnamo Novemba 2019, aliteuliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 ya Malawi.

  1. Munyai, Ofhani (25 Juni 2023). "Peter Mponda talks on his Leopards return". FARPost (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 1 Januari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Zoutnet | Sport | Black Leopards start new journey with two new coaches". zoutnet.co.za. 7 Julai 2023. Iliwekwa mnamo 1 Januari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Mponda promoted to head coach at Black Leopards Malawi 24 | Latest News from Malawi". Malawi 24 (kwa American English). 28 Septemba 2023. Iliwekwa mnamo 1 Januari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Mponda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.