Nenda kwa yaliyomo

Peter McKeefry

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peter Thomas Bertram McKeefry (3 Julai 189918 Novemba 1973) alikuwa Askofu Mkuu wa tatu wa Wellington (1954–1973) na Kiongozi wa Kanisa la New Zealand.

Alikuwa kardinali wa kwanza kutoka New Zealand.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.