Nenda kwa yaliyomo

Peter John Byrne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peter John Byrne (alizaliwa 24 Julai 1951) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.

Tangu mwaka 2014, amehudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la New York.[1]

  1. "Bishop Peter Byrne". Archdiocese of New York (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-03-02.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.