Nenda kwa yaliyomo

Petar Rajič

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Petar Antun Rajič (alizaliwa 12 Juni 1959) ni askofu wa Kroatia/Kanada wa Kanisa Katoliki ambaye amefanya kazi katika idara ya kidiplomasia ya Vatikani tangu mwaka 1993.

Aliteuliwa kuwa Balozi wa Papa (Apostolic Nuncio) nchini Italia na San Marino tarehe 11 Machi 2024.[1][2]

  1. "His Grace Archbishop Petar Rajič - Former Apostolic Nuncio to the Arabian Peninsula". avona.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-08-10. Iliwekwa mnamo 2025-02-04.
  2. Angola e Vaticano preparam acordo de cooperação (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2020-01-19
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.