Peregrino Anselmo
Mandhari
| Carlos Riolfo | |
| Amezaliwa | Novemba 5, 1905 Uruguay |
|---|---|
| Amekufa | 5 Desemba 1978 (umri 73) |
| Nchi | Uruguay |
Juan Carlos Riolfo Seco (5 Novemba 1905 – 5 Desemba 1978) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Uruguay aliyechezea timu ya taifa ya Uruguay.[1]
Kazi ya klabu na kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Riolfo aliichezea timu ya taifa mechi 2 pekee, zote zikiwa mnamo mwaka 1928 dhidi ya Argentina, lakini alikuwa sehemu ya kikosi kilichotwaa ubingwa wa kwanza wa Kombe la Dunia la FIFA mnamo mwaka 1930 ingawa hakutumiwa katika mechi yoyote. Katika ngazi ya klabu, alichezea Penarol.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Carlos Riolfo". Iliwekwa mnamo 24 Juni 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peregrino Anselmo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |