Perşembe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Perşembe
Ramani inayo onyesha Perşembe,Ordu

Perşembe ni mji na wilaya iliopo Mkoani Ordu kwenye kanda ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Perşembe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.