Penny Whetton
Mandhari
Penelope Whetton (5 Januari 1958 - 11 Septemba 2019) alikuwa mtaalamu wa hali ya hewa na mtaalamu wa makadirio ya mabadiliko ya hali ya hewa ya kikanda yanayosababisha ongezeko la joto duniani na athari za mabadiliko yake. Alijikita sana na masuala ya kisayansi sanasana Australia [1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Marsa, Linda. "The Continent Where Climate Went Haywire", Discover Magazine. Retrieved on 17 May 2013.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Penny Whetton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |