Penina (filamu)
Mandhari
Penina ni filamu ya drama ya Kitanzania inayoongozwa na Femi Ogedengbe, na Steven Kanumba kama mwigizaji na mwandishi wa skrini. Inahusu msichana anayeitwa Penina, ambaye anamatatizo ya kiroho na ya kifamilia kutokana na maisha ya kale ya mama yake, ambayo yanayohusisha uchawi. Mjomba na mlezi, akichezwa na Kanumba, anajaribu kumudu tabia za Penina zinazozidi kuwa za kutisha, hadi kugundua tatizo lake lina asili ya kiroho. Filamu inashia na kumudu tatizo hilo kupitia maombi. Waigizaji wengine ni Asha Jumbe na Rosemary Kinyamagoha[1]. Inapatikana kwenye YouTube au IMDb.
- Mongozaji: Mtitu G. Game
- Mwandishi: Steven Kanumba
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Penina (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |