Pembe ya Kunywea ya Kuba
Mandhari


Pembe ya kunywea katika Ufalme wa Kuba kwa kawaida ilikuwa zawadi kwa marafiki na familia ya wafalme au alipewa shujaa.[1][2][3] Katika Taasisi ya Sanaa ya Chicago, katika sehemu ya Sanaa ya Afrika na Sanaa ya Wahindi wa Amerika, kuna pembe ya kunywea ya karne ya 19. Pembe hiyo ya kunywea imetengenezwa kwa mbao, chuma na aloi ya shaba.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Evolution of Culture and Institutions: Evidence from the Kuba Kingdom, http://econ.columbia.edu/files/econ/content/kuba_final.pdf Archived 2014-12-09 at the Wayback Machine
- ↑ Kuba People, http://www.britannica.com/topic/Kuba-people
- ↑ Kuba background, http://kubaafricanart.weebly.com/background.html
| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pembe ya Kunywea ya Kuba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |