Pedro Nicolás Bermúdez Villamizar
Mandhari
Pedro Nicolás Bermúdez Villamizar, C.I.M. (8 Juni 1929 – 27 Oktoba 2022) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Venezuela.
Bermúdez Villamizar alizaliwa nchini Venezuela na aliteuliwa kuwa padri mwaka 1953. Alihudumu kama askofu wa jimbojina la Lamsorti na askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Caracas kuanzia mwaka 1997 hadi alipojiondoa mwaka 2009.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |