Pedri
Mandhari
Pedro González López (alizaliwa 25 Novemba, 2002), anayejulikana zaidi kama Pedri, ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchi ya Hispania ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Fc Barcelona na timu ya taifa ya Hispania.
Anachukuliwa kuwa mmoja wa viungo bora Duniani kutokana na uwezo wake wa kudhibiti mpira, kudriboli, kupiga pasi na kutengeneza nafasi za mabao. [1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Maston, Tom (29 Aprili 2025). "Ballon d'Or 2025 Power Rankings: Ousmane Dembele edges ahead of Barcelona trio despite Lamine Yamal's sensational Champions League showing". Goal.com. Iliwekwa mnamo 5 Mei 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Watach, Nestor (17 Aprili 2025). "2025 Ballon d'Or power rankings: Mbappe's hopes dealt fatal blow..." Planet Football. Iliwekwa mnamo 5 Mei 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "2025 FC 100: Pedri among best central midfielders in men's soccer". 4 Juni 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pedri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |