Nenda kwa yaliyomo

Pearl Swanson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pearl Pauline Swanson (13 Septemba 1895, Cokato, Minnesota – 21 Mei 1980, Ames, Iowa) alikuwa Mmarekani mtaalamu wa lishe. Alipokea tuzo na heshima mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Tuzo ya Mafanikio Bora (Outstanding Achievement Award) kutoka Chuo Kikuu cha Minnesota mwaka 1951 na Tuzo ya Borden (Borden Award) mwaka 1955.[1]

Pia aliandika karibu makala na machapisho 90 ya kitaaluma kuhusu lishe na afya ya binadamu.

  1. Ogilvie, Marilyn; Harvey, Joy (2003-12-16). [The) Biographical Dictionary of Women in Science: Pioneering Lives From Ancient Times to the Mid-20th Century (kwa Kiingereza). Routledge. uk. 1255. ISBN 978-1-135-96343-9. {{cite book}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pearl Swanson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.