Nenda kwa yaliyomo

Peace Butera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peace Nankunda Butera ni msanii wa upishi kutoka Uganda anayefanya kazi kama Mkuu Msaidizi wa Mpishi Mkuu (Executive Sous Chef), yaani nafasi ya pili kwa uongozi jikoni, katika Kampala Serena Hotel, hoteli ya nyota tano iliyopo Kampala, mji mkuu na mkubwa wa Uganda.[1]

  1. Batte, Edgar (3 Julai 2016). [(http://www.monitor.co.ug/Magazines/Life/Her-aunts-good-cooking-stirred-her-culinary-passion/689856-3276998-kb5ngiz/index.html) "Her aunt's good cooking stirred her culinary passion"]. Daily Monitor. Kampala. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2017. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peace Butera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.